×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

SIASA ZA 2022: Naibu Rais awataka wakazi wa Laikipia kutangamana

9th June, 2018

Naibu rais William Ruto amezuru kaunti ya Laikipia hii leo katika hafla ambayo iliibua siasa kali za uchaguzi mkuu ujao wa 2022. Japokuwa hotuba ya Ruto ilijikita katika kuwataka wakazi wa maeneo hayo kutangamana wachangiaji katika hafla hiyo walimpigia debe kumrithi rais Kenyatta.  Miongoni mwa waliohudhuria hafla hiyo ni mwakilishi wa kike wa kaunti ya Kiambu Gathoni wa Muchomba na waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri.

.
RELATED VIDEOS