Juhudi za kutafuta ndege ya Fly Sax Kitale zingali zinaendelea
6th June, 2018
Juhudi za kutafuta ndege ya Fly Sax iliyopotea jana baada ya kutoka katika uwanja mdogo wa ndege wa Kitale zingali zinaendelea katika msitu wa Njambini kaunti ya Nyandarua.