×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maafisa wa polisi walisimamia ubomozi wa vibanda vilivyokuwepo nje ya shule ya Moi Girls

5th June, 2018

Maafisa wa polisi walisimamia ubomozi wa vibanda vilivyokuwepo nje ya shule hiyo ya Moi Girls katika  mtaa wa Kibera katika  njia ambayo wamesema ni kudumisha usalama kwa  wanafunzi  hao  ubomozi huo hata hivyo haukuchukuliwa  vyema na wenye biashara walioingia hasara kubwa . Msichana mmoja alibakwa  ndani ya shule hiyo   jambo ambalo limezua tetesi za usalama .

.
RELATED VIDEOS