×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Usinunue soda ovyo ovyo, polisi wawaonya wenyeji wa Bungoma

4th June, 2018

Wananchi katika kaunti ya Bungoma wametakiwa kuwa waangalifu wakati wananunua vinywaji haswa soda  baada ya lori moja kukamatwa eneo la mpaka wa Kenya na Uganda eneo la Lwakhakha na bidhaa zilizokuwa zimepita muda wa matumizi huku wananchi wakiuziwa kwa bei nafuu.

.
RELATED VIDEOS