×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wa Jubilee wamshambulia Raila, wasema ana njama fiche

3rd June, 2018

Viongozi wa chama cha Jubilee kutoka sehemu mbalimbali wamemkosoa kiongozi wa NASA Raila Odinga kwa kutoa mapendekezo kuwa katiba inatakiwa kufanyiwa marekebisho wakidai kuwa ana njama fiche. Wakizungumza katika kanisa katoliki la St. Trizer huko Kiambu wamedai kuwa Jubilee haimwamini Raila. Matamshi yao yanatukia huku kukiwa na mpangilio maalum wa utendakazi kati ya Raila Odinga na rais Uhuru Kenyatta kupitia kwa jopo la watu kumi na wanne lililobuniwa.

 

.
RELATED VIDEOS