.
2nd June, 2018
Kiongozi wa Ford Kenya Moses Wetangula amemkashifu kiongozi wa ODM Raila Odinga kwa matamshi yake kwamba muungano wa kisiasa kati ya Ford Kenya na ANC, vyama ambavyo vinaongozwa na Wetangula na Mudavadi ni wa kikabila. Amemtaka Raila akome kujihusisha na mambo ambayo hayamhusu.