×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Radio Maisha imetajwa kuwa radio maarufu nchini

24th May, 2018

Kituo cha Radio Maisha kinachomilikiwa na shirika la habari la Standard kinaadhimisha miaka minane tangu kuanzishwa rasmi mwaka 2010. Hafla ya kipekee ya kuadhimisha hatua hii imefanyika katika makao makuu ya shirika hili, kilele chake kikiwa ukataji keki. Kaimu afisa mkuu mtendaji wa Standard Group, Orlando Lyomu, ametaja maadhimisho haya kuwa ya kipekee.

.
RELATED VIDEOS