×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Standard Group limetia mkataba wa maelewano na taasisi ya wahasibu wa umma nchini ICPAK

23rd May, 2018

Shirika la Standard Group limetia mkataba wa maelewano na taasisi ya wahasibu wa umma nchini ICPAK.mwenyekiti wa taasisi hiyo Julius Mwatu alisema makubaliano hayo yanalenga kuboresha utendakazi wa taasisi ya uhasibu nchini na wanachama kufahamu mengi kuhusu taaluma na mikakati inayofanywa kuboresha matakwa ya wahasibu nchini. Wakizungumza huko Mombasa ICPAK ilikubali kuendeleza ushirikiano mwema na gazeti la Standard na kuahidi kuendelea kusoma gazeti hilo kila mara ili kufahamu mengi yanayojiri nchini.

.
RELATED VIDEOS