23rd May, 2018
Watu watatu wameripotiwa kupoteza maisha yao eneo la Loruko kaunti ya Isiolo kwenye shambulizi linalohusishwa na wizi wa mifugo. Sasa wenyeji wa maeneo hayo wanaishi kwa hufo ya mapigano ya kulipiza kisasi huku watu kadhaa wakiwa hawajulikani walipo.