×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Bongo la biashara: Kijana anayeokoa miili iliyozama kwenye vidimbwi

22nd May, 2018

Kwa kawaida mwanafunzi yeyote wa chuo kikuu hutumia pesa za masurufu ili kujiburudisha wikendi na kuchangamsha nafsi katika maeneo ya burudani. Lakini kwa Philip Kiplagat Kemboi mwanafunzi wa chuo kikuu cha Eldoret hujitafutia karo kwa kuokoa miili na maiti iliyozama kwenye vidimbwi na hata kuruka maeneo hatari penye mamba na viboko hatari ili kutafuta karo

.
RELATED VIDEOS