Wanaharakati wafika mahakamani kuhusiana na kesi ya uavyaji wa mimba
22nd May, 2018
Kesi inayohusiana na uavyaji wa mimba imeendelea hii leo katika mahakama ya Milimani jijini Nairobi huku shahidi mmoja akitoa ushahidi wake kuhusini na utoaji wamimba miongoni mwa wagonjwa wake.