KTN Leo: Sauti ya diplomasia kuhusu malalamishi ya baadhi ya wauguzi wa Kenya
22nd May, 2018
Kenya na Namibia zimebuni kamati ya kuchunguza malalamishi yaliokuwa yametolewa na baadhi ya wauguzi wa Kenya wanaofanya kazi Namibia ambao walihofia kuwa kandarasi zao zingekatizwa