.
21st May, 2018
Je, wewe ni mzazi ambaye umewahi kuhofia usalama wa mtoto wako anapokuwa akizaliwa? Kwenye makala ya Teknohama tunakueleza jinsi wataalamu wa teknolojia wamevumbua kifaa kinachoweza kumuainisha mama na mwanaye kupitia maelezo yao yanayonakiliwa kwenye kifaa maalum almaarufu kama ‘Malaika’