×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Muthomi Njuki apongeza kupitishwa kwa sheria ya kukabili uhalifu wa mitandao

20th May, 2018

Gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki amepongeza kupitishwa kwa sheria ya kuthibiti matumizi ya tarakilishi na kukabili uhalifu wa mitandao. Akizungumza baada ya kuzindua matembezi ya wanafunzi wa shule za msingi na upili Njuki amesema kuwa sheria hiyo itawazuia vijana kutumia mitandao visivyo. Njuki amesema kuwa baadhi ya vijana wamekuwa wakitumia mitandao kuwa jukwaa la kuwashambulia watu jambo ambalo huzua migawanyiko.

.
RELATED VIDEOS