19th May, 2018
Wengi wanapotembea kaunti ya Mombasa huja kuongelea na kujipumbaza lakini kando na hayo ukitembelea eneo la Hallar park unaweza kujionea wanyama kama mamba ambao nikitega uchumi na mahali murwa kwa wakazi kukamilisha wikendi yao na familia.