×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia ambazo zimepiga kambi katika shule ya Solai zaamrishwa kuondoka ili kutoa nafasi ya masomo

19th May, 2018

Familia zilizoathirika huko Solai ambazo zimepiga kambi katika shule ya vijana ya Solai zimeamrishwa kuondoka ili kutoa nafasi kwa wanafunzi kutumia sehemu hiyo kwa masomo.Baadhi  ya waathiriwa hao walichukizwa na hatua hiyo ya serikali na kusema kuwa ingetumia hekima na maarifa kuwaondoa. aidha shilingi elfu thelathini ambazo waathiriwa wanapewa kama fidia wanadai hazitoshi

 

.
RELATED VIDEOS