Zilizopendwa: Mziki wa Santuri ulitia fora enzi zile za kitambo
17th May, 2018
Zilizopendwa juma hili inazamia mziki wa santuri iliotia for a
sana katika miaka ya sabini na themanini. Tobias Chanji
anaripoti jinsi mziki wakati ule ulikuwa mziki kweli.