Rais Uhuru ametia saini sheria kali za kudhibiti matumizi ya mitandao:Ktn Leo full bulletin
16th May, 2018
Rais Uhuru Kenyatta ametia saini sheria kali za kudhibiti na
kuelekeza matumizi ya kompyuta na mitandao.sheria hizo
mpya zinatoa adhabu kali kama vile kufungwa gerezani kwa
wahalifu wa mitandaoni na wasambazaji wa taarifa ghushi
zisizothibitika. Utiaji saini wa sheria hizo umefanyika
kukiwapo pingamizi kutoa kwa wadau.Wataotiwa hatiani kwa
mujibu wa sheria hizo watahitajika kulipa hadi shilingi milioni
tano pesa taslimu