Polisi wanadaiwa kumzuilia mshukiwa mkuu wa mauaji Timothy Kiptanui Kitai almaarufu Cheparkach
15th May, 2018
Polisi wanadaiwa kumzuilia mshukiwa mkuu wa mauaji Timothy Kiptanui Kitai almaarufu Cheparkach ambaye amekuwa akitafutwa kwa madai ya misururu ya mauaji katika eneo la mlima Elgon Kaunti ya Bungoma