Usalama wa wagonjwa katika hospitali ya Mbagathi

KTN Leo | Tuesday 15 May 2018 7:52 pm

Hali duni katika wadi ya akina mama ya kujifungua katika hospitali ya Mbagathi sasa imesababisha akina mama wanaotaka kujifungua kufukuzwa