.
15th May, 2018
Aliyekuwa katibu wa jiji la Nairobi John Gakuo na aliyekuwa katibu katika wizara ya serikali za wilaya Sammy Kirui wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwa kila mmoja kwa kuhusika katika sakata iliyohusu ununuzi wa ardhi ya makaburi katika eneo la Mavoko iliyosababisha ubadhirifu wa shilingi milioni 283