15th May, 2018
Kundi la akina mama wamefanya maandamano wakitaka haki za akina mama kunyonyesha watoto wao hadharani kudumishwa .Kundi hilo lilijawa na gathabu kufuatia kisa cha mwanamke mmoja, kudaiwa kukatazwa kumnyonyesha mwanawe ndani ya mkahawa mmoja jijini Nairobi kusambaa katika mitandao ya kijamii