×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kaunti ya Kitui yapinga uchomaji wa makaa

13th May, 2018

Huku dunia ilipokuwa ikiadhimisha siku ya upanzi wa miti ,vita dhidi ya usafirishaji wa makaa katika kaunti ya kitui vilipata pigo baada ya magunia mia mbili  ya makaa kunaswa yalipokuwa yakisafirishwa hadi nje ya mji wa mwingi .Akizungumza baada ya kisa hicho naibu wa gavana wa kaunti ya Kitui daktari Wathe Nzau amewashtumu maafisa wa  polisi na maafisa wa kaunti hiyo kwa kukosa kuthibiti biashara hiyo nzau amesema kuwa juhudi zaidi zinafaa ili kuhakikisha kwamba hakuna maka yanayosafirishwa kupitia kaunti hiyo 

.
RELATED VIDEOS