Viongozi wa magharibi wapinga wito wa kubadili katiba
13th May, 2018
Baadhi ya viongozi kutoka eneo la magharibi wamepinga mabadiliko ya kikatiba ambayayo yamekuwa yakizunguziwa wakidai ni nia ya kubuni nafasi ziada katika uongozi kunufaisha watu wachache badala ya wananchi