×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Ali Roba akosoa hatua ya serikali kuu kufunga timbo za eneo la Mandera kwa kigezo cha ugaidi

13th May, 2018

Gavana wa Mandera Ali Roba amekosoa hatua ya serikali kuu kufunga timbo za eneo hilo kwa kigezo cha ugaidi katika eneo hilo. Gavana Roba aliyezungumza baada ya kuzindua shughuli ya upanzi wa miti katika kaunti ya Mandera, amesikitika kwamba hatua hiyo itarudisha nyuma maendeleo ya sehemu hiyo, akiwataka wadau wa asasi za usalama kubuni mbinu za kudumu katika kupambana na ugaidi nchini.

 

.
RELATED VIDEOS