.
13th May, 2018
Naibu wa rais William Ruto amewataka viongozi wa magharibi kuungana ili kufanikisha agenda 4 muhimu kwa wakazi wa maeneo ya magharibi.ruto aliyasema haya kwenye hafla iliyotawaliwa na siasa za 2022 pamoja na hisia mseto za kura ya maoni.