13th May, 2018
Familia moja katika kaunti ya mombasa imeshindwa na la kufanya baada ya baba yao kufariki nchini marekani. Familia hiyo imeshindwa na hela a ikuusafirisha mwili lakini wazee katika familia hiyo wanadai kuwa mila haitaruhusu azikwe Marekani