×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke Ngangari;Linah Cheboskul, mamake bingwa wa dunia kwa riadha Conselslus Kipruto

13th May, 2018

Mwanamke mmoja kutoka kaunti ya Nandi  anajionea fahari kutokana na bidii zake za mchwa ya kufanikisha ndoto ya mwanawe.Linah cheboskul mamake bingwa wa olimpiki Conseslus Kipruto alimpoteza mumewe wiki moja tu baada ya ndoa hivyo kumpa dhiki ya kuwalea wanawe.Halikadhalika talanta yake ya riadha ilikatizwa kutokana na kuozwa mapema lakini akampokeza Conselslus Kipruto mkoba wake. 

 

.
RELATED VIDEOS