×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shughuli za kibiashara zaathiriki katika eneo la Solai baada ya mkasa wa bwawa

13th May, 2018

Siku  ya nne baada ya mkasa wa  bwawa la Solai wakazi katika eneo hilo  wangali wanawatafuta wapendwa wao ambao sasa wanadhania waliaga dunia .Hii ni bada ya shughuli za uokozi  kupungua .Aidha shughuli za kibiashara katika eneo hilo hazijarejea huku huzuni ikiwa ingali imetanda kwa wakazi.  

.
RELATED VIDEOS