×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

IPUCCF yakosa kuhudhuria kikao kilichonuiya kujadili mgomo wa wahadhiri unaoendelea nchini

12th May, 2018

Matumaini ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya serikali kurejelea masomo yao juma lijalo yamepata pigo baada ya baraza la kuangazia maslahi ya vyuo vikuu yani IPUCCF kukosa kuhudhuria kikao maalum kilichonuiya kujadili mapendekezo mapya ya kuafikia mwafaka kwenye mgomo wa wahadhiri unaoendelea nchini

.
RELATED VIDEOS