Rais Uhuru Kenyatta aongoza taifa kwenye maadhimisho ya siku ya kitaifa ya upanzi wa miti.
12th May, 2018
Rais Uhuru Kenyatta aongoza taifa kwenye maadhimisho ya siku ya kitaifa ya upanzi wa miti. hafla hiyo kwenye shule ya msingi ya Moi forces Eastleigh jijini Nairobi ikiwavutia naibu rais, mawaziri, wanafunzi na raia wa kawaida.