.
12th May, 2018
Gavana wa Nairobi Mike Sonko aliwaacha vinywa wazi waliohudhuria hafla ya siku ya kitaifa ya upanzi wa miti alipodai kuwa mpangilio wa wanenaji ulionekana kumhujumu. Sonko alisimama punde tu naibu rais alipoanza kuongea baada ya waziri Keriako Tobiko na kuchukua kinasa sauti akitaka azungumze kwanza kabla ya naibu rais na rais kuendelea.