×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbunge Otiende Amollo azirai katika hafla ya mazishi Siaya

12th May, 2018

Mbunge wa Rarieda Otiende Amollo alasiri ya leo alizirai alipokuwa akihudhuria hafla ya mazishi huko Alego Usonga kaunti ya Siaya. Inaarifiwa kuwa wakili huyo maarufu alikuwa katika mazishi ya mwanaye mbunge wa zamani Peter Oloo Aringo ambapo alikuwa akijiandaa kusoma rambirambi yake kwenye msiba huo. Alikimbizwa hadi hospitalki ya bondo alikofanyiwa hudma ya kwanza na kupata fahamu zake.

.
RELATED VIDEOS