×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Katibu mkuu wa COTU ,Francis Atwoli adai maisha yake yamo hatarani

5th May, 2018

Katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli sasa anadai kwamba maisha yake yamo hatarini .Atwoli amesema kwamba ameripoti kwa polisi kuhusu vitisho dhidi ya maisha yake lakini  hakuweza kusadika kwa njia yoyote . Atwoli aliyazungumza haya mjini kisumu ambako pia aligusia haja ya katiba kufanyiwa marekebisho ili kuwajumuisha viongozi wote katika  serikali mpya 

.
RELATED VIDEOS