×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia zaomboleza Nyeri baada ya kupoteza jamaa zao katika shambulizi la Mandera

5th May, 2018

Familia nne katika kaunti ya nyeri  zinaomboleza  jamaa zao waliofariki katika mashambulizi kwenye  timbo  kadhaa  huko  mandera siku ya alhamisi. Ni mashambulizi ambayo yamekemewa yakisemekena kuwa ni ya kigaidi, ila kwa mujibu wa baadhi ya wafanyikazi katika timbo hizo huenda ikawa ni mzozo wa  kibiashara . 

.
RELATED VIDEOS