.
1st May, 2018
Tuangazie athari za mvua inayoendelea kunyesha sehemu nyingi nchini ambapo zaidi ya familia elfu moja zimeachwa bila makao katika kijiji cha Chelaluma kaunti ya Lamu. Na kama Francis Mtalaki anavyoarifu, ni dhahiri kuwa masomo ya watoto yatatatizika shule zinapofunguliwa.