Vijana waliofuzu na shahada mbali mbali waendelea kubeba mabango ya hadhara kuomba kazi
1st May, 2018
Na huku Kenya ikiijiunga na ulimwengu kwa siku kuu ya wafanyikazi kama mtindo ambao umeendelea kunoga vijana waliofuzu na shahada mbali mbali wanaendelea kubeba mabango kwenye maeneo ya hadhara kuomba kazi