25th April, 2018
Uraibu wa pombe miongoni mwa vijana humu nchini, imekuwa
donda sugu huku mara nyingi waraibu wakiwa na wakati
mgumu kuacha mapenzi yao kwa vileo. Lakini kwa Cyrus
Githaiga, safari hii imekuwa ndefu kwake hasaa kuacha
mapenzi yake kwa pombe na dawa za kulevya, kama raquel
muigai anavyotuarifu