.
25th April, 2018
Ibada ya wafu kwa mwendazake Kenneth Matiba
imefanyika leo katika kanisa la all saints cathedral jijini
nairobi huku marehemu akitarajiwa kuchomwa kuambatana
na wasia wake.Na kama anavyoripoti mwanahabari wetu
elphas lagat,viongozi waliodhuhuria walimmiminia sifa
matiba wakisema kenya itamkosa kiongozi