×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kinara wa NASA Raila Odinga sasa anapendekeza mfumo wa ngazi tatu za serikali

25th April, 2018

        Kinara wa NASA Raila Odinga sasa anapendekeza mfumo wa

        ngazi tatu za serikali unaonuia kujumuisha serikali kuu na

        zile za kaunti. Akizungumza wakati wa kongamano la ugatuzi

        linaloendelea mjini kakamega, Raila pia amependekeza

        kujumuishwa upya kwa utawala wa mikoa kwa lengo la

        kuimarisha na kugawa raslimali za kiuchumi. Amesema hii ndio

        njia ya kupata suluhu ya kudumu kwa matatizo ya kimaeneo

            yaliyotokana na ugatuzi

.
RELATED VIDEOS