.
24th April, 2018
Polisi katika kaunti ya Mombasa wamejipata matatani baada ya ripoti kuwa wamewapiga risasi raia wanne katika eneo la Miritini huku mmoja akifariki. Watatu wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya kaunti ya Mombasa kutokana na majeraha waliyopata