.
24th April, 2018
Baadhi ya familia katika eneo la Kilungu kaunti ya Makueni zimeeleza nia ya kuhamishwa kutoka eneo hilo baada ya maporomoko ya ardhi kushuhudiwa kufuatia mvua nyingi inayoendelea kunyesha. Baadhi ya nyumba zimefunikwa na mchanga kufuatia maporomoko hayo.