23rd April, 2018
Mwenyekiti wa muungano wa ugatuzi na Gavana wa Turkana Josphat Nanok na naibu wake bi Ann Waiguru wamesema kuwa wanatarajia kuwa kongamano la ugatuzi ambalo limeng’oa nanga leo litawezesha kupatikana kwa suluhu dhidi ya changamoto ambazo zimekuwa zikijitokeza tangu ugatuzi ulipoanza