23rd April, 2018
Mara ya mwisho uliponunua tomato kilo moja ilikugharimu shilingi ngapi? Mimi ni mmoja wa wale wanaolalamika kuwa tomato zimepanda bei. Sasa huko Laikipia Magharibi wakulima wa bidhaa hii wanapata hasara kwani zao ni kubwa lakini njia ya kuhifadhia zao lao ndio ngoma