.
23rd April, 2018
Maandalizi ya mazishi ya mwanasiasa mkongwe marehemu Kenneth Matiba yameendelea huku familia yake ikitangaza ratba ya ibada ya wafu kwa marehemu.Haya yamejiri huku seneta wa Baringo Gideon Moi akijumuika na familia ya Matiba kutoa risala zake za rambirambi.