22nd April, 2018
Mamia ya wakazi wameachwa bila makao katika kaunti za tana river na Turkana kufuatia mvua inayoendelea kukunya kusababisha mafuriko.Halikadhalika madaraja na barabara zinazounganisha kenya na majirani zake sasa hayapitiki huku wakazi wakitafuta salama katika nyanda za juu