22nd April, 2018
Suala la kubadilisha katiba humu nchini linazidi kuibua mvutano miongoni mwa wanasiasa naibu rais William Ruto akipinga vikali hoja hiyo huku kinara mwenza wa nasa Musalia Mudavadi akisema ni sharti katiba libadilishwe ili uongozi uwe na sura ya kitaifa