.
22nd April, 2018
Mkenya Eliud Kipchoge ameibuka mshindi wa mbio za London marathon huku akiandikisha muda wa saa mbili, dakika 4 na sekunde 27. Tola Kitata kutoka Uhabeshi alimaliza katika nafasi ya pili kwa muda wa saa mbili dakika tano huku Mo Farah kutoka uingereza akimaliza wa tatu kwa muda wa saa mbili dakika sita na sekunde 32.