Rais mstaafu Mwai Kibaki atembelea familia ya Kenneth Matiba mjini Limuru
21st April, 2018
Rais mstaafu Mwai Kibaki amefika nyumbani kwa mwanasiasa mkongwe marehemu kenneth matiba kuomboleza na familia yake katika boma la marehemu katika eneo la Limuru