21st April, 2018
Naibu rais William Ruto leo hii amerejea kwenye mizizi yake kambi ya kuku alikouza kuku katika miaka ya nyuma ambapo amewapa motisha wafugaji kuku sawa na wanunuzi kwa kuzindua mnada wa kuku unaonuiya kuimarisha biashara za vijana na akina mama katika maeneo ya uasin gishu.